Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ni no 1
Umezoea cheko la nyundo hebu tupe la msumari sie nginjanginja.
Uko busy airport unasubiri meli na hata passport hujabeba.
Umeumbwa u-kanga unautaka u-kuku.
Uko busy kama unapiga deki bahari.
Usiniambie kwa mafumbo sema wazi ujibiwe.
Ladyfurahia umekuwa mkali mpaka naogopa
Duuu hasira hazijapoa bado naona tumejumuishwa wote.... basi ladyfurahia fanya kama yameisha turudi kwenye mada tusikose uhondomm sio mkali bali naleta nuru uweponi mwangu kwani najua nyie mabazazi hamkawii
mtaanza kunipm wakati yuko mhusika maalum
"Kuliko kioze bora nimpe jirani"
Early in the morning mtoto wa kiume anawaza khanga.
Wa wapi wewe?
Early in the morning mtoto wa kiume anawaza khanga.
Wa wapi wewe?
Early in the morning mtoto wa kiume anawaza khanga.
Wa wapi wewe?
hahaha labda yuko single