Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Mdomo wa mnafiki hauna likizo"Heri pancha ya gari kuliko jirani mwenye kero
 
Kufika utafika hata kama ukitembea.

Mola nipe jicho la tatu linijaze ufahamu.

Aliyekuonjesha kaweke kambi kwake.

Eti kuku wa kuchora, hawiki, hatagi wala hadonoi.

Unaacha nyama nyumbani, unaenda kula mishikaki baa.
 
Umezoea cheko la nyundo hebu tupe la msumari sie nginjanginja.

Uko busy airport unasubiri meli na hata passport hujabeba.

Umeumbwa u-kanga unautaka u-kuku.

Uko busy kama unapiga deki bahari.

Usiniambie kwa mafumbo sema wazi ujibiwe.
 
Umezoea cheko la nyundo hebu tupe la msumari sie nginjanginja.

Uko busy airport unasubiri meli na hata passport hujabeba.

Umeumbwa u-kanga unautaka u-kuku.

Uko busy kama unapiga deki bahari.

Usiniambie kwa mafumbo sema wazi ujibiwe.

hahahahaaaaa uuuuwiii uhondo tupu aisee
 
mm sio mkali bali naleta nuru uweponi mwangu kwani najua nyie mabazazi hamkawii
mtaanza kunipm wakati yuko mhusika maalum
Duuu hasira hazijapoa bado naona tumejumuishwa wote.... basi ladyfurahia fanya kama yameisha turudi kwenye mada tusikose uhondo
 
kuna khanga nimekutana nazo leo zimeandikwa kwa kichina..!

sasa sijui ndo tunaambiwaje jamani!
 
bantu lady nimekubali! hasa hii ya "raha ya shavu liwe kavu''
 
Hii kanga imeniacha hio, Lol....
 

Attachments

  • 1408560825636.jpg
    30 KB · Views: 258
Kwani yanatia moyo na kubariki pia
 
Early in the morning mtoto wa kiume anawaza khanga.

Wa wapi wewe?
 
hahaha labda yuko single

And searching...
Mkumbushe rafikio kwamba ukiona mwanaume hawazii hizo mambo ujue anaweza kuwa mpakata laptop(jina kama lilivyo letwa na mchunguzi huru) au akawa punga sometimes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…