Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Siku hizi vijembe vya kanga hakuna,sasa hivi ni mwendo wa whatsapp status tyuuuuu....
 
Khanga imekuwa ni vazi linalo patikana kwa wingi kwenye mikoa ya pwani " Vazi ambalo huwa linatumiwa na Wanawake kwaajili ya kujisitiri Na kufikisha jumbe mbali mbali toka kwa mvaaji dhidi ya watu wanaoishi katika jamii inayo mzunguka ..

Jumbe Ambazo zipo kwenye vazi hilo " Huwa saidia waavaji husika kuweza kuwasilisha yale yaliyo jificha Mioyoni mwao" Na kuifanya jamii iweze kutambua Hisia zao "

Leo na waletea khanga hizi chache zilizobeba jumbe mbali mbali .. na Nyinyi mnaweza kuongeza "



Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hii inatokea pale mama yako kaomba kitu halafu hujampa...unakuta kalala kwenye kochi kajifunika hiyo khanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…