Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Poleee mremboHuu uzi umenikumbusha mbali kweli, mara yangu ya kwanza kununua khanga nilijinunulia tu bila hata kusoma maneno yake kilichonikuta ilikuwa balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleee mremboHuu uzi umenikumbusha mbali kweli, mara yangu ya kwanza kununua khanga nilijinunulia tu bila hata kusoma maneno yake kilichonikuta ilikuwa balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijawai kuona hizoLangu takoni !!
Ipo yaani maana ake yeye haongei jibu lakE takoni akivaa khanga Wewe soma ujumbe . Utakufikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijawai kuona hizo
Duuuh! Basi kasheshe Beef Lasagna:Ipo yaani maana ake yeye haongei jibu lakE takoni akivaa khanga Wewe soma ujumbe . Utakufikia
ni yule wa zanz amefungwa juz juz baada ya kumlawiti mtotoKiringo ndio nani?
Hahah wifi atakuvalia,"tunguri ya nini wakati mume majaaliwa"Na mama mkwe anakuvalia "utamaliza waganga mume halogeki"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mama mkwe anakuvalia "utamaliza waganga mume halogeki"
Kazi Kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ya mumeo waiona mali, funga shingoni ulambe kama koni
Hahaa daah !!! Mkui unatumia telescopio nini !? Yaani khanga zote hizo wewe umeona hiyo tu ?Nimeona tu "Panua paja mkwaju waja" mengine wasome wengine
Wewe tena mtu wa pwani halisi ... hauwezi kukosa hapaKila kizuri kina mwenyewe....