Hahaha hahaha hahaha
hiyo ya mpesa naunga mkono % 100Khanga imekuwa ni vazi linalo patikana kwa wingi kwenye mikoa ya pwani " Vazi ambalo huwa linatumiwa na Wanawake kwaajili ya kujisitiri Na kufikisha jumbe mbali mbali toka kwa mvaaji dhidi ya watu wanaoishi katika jamii inayo mzunguka ..
Jumbe Ambazo zipo kwenye vazi hilo " Huwa saidia waavaji husika kuweza kuwasilisha yale yaliyo jificha Mioyoni mwao" Na kuifanya jamii iweze kutambua Hisia zao "
Leo na waletea khanga hizi chache zilizobeba jumbe mbali mbali .. na Nyinyi mnaweza kuongeza "
View attachment 1037609View attachment 1037610View attachment 1037611View attachment 1037614View attachment 1037616View attachment 1037617View attachment 1037618View attachment 1037619View attachment 1037620View attachment 1037621View attachment 1037622View attachment 1037623View attachment 1037625View attachment 1037626View attachment 1037627View attachment 1037628View attachment 1037629View attachment 1037630View attachment 1037632View attachment 1037633
Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza ..sijui hawajaenda shuleMbona watengenezaji wa hizo khanga hawapitii maandishi yaliyowekwa? Kuna makoss kibao ya uandishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa AiseView attachment 1037681
Hii inatokea pale mama yako kaomba kitu halafu hujampa...unakuta kalala kwenye kochi kajifunika hiyo khanga
Sawa bwana ..karibuHahaha hahaha hahaha
Nilikuwa napita tuu jamani
Niko sebleni tayari mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa daah !!! Mkui unatumia telescopio nini !? Yaani khanga zote hizo wewe umeona hiyo tu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam na malori yaliyoandikwa jumbe nyumaIkumbukwe kwamba kanga zilianza kabla ya bajaji Tanzania.