Majina na kazi za mathematics set tools

Majina na kazi za mathematics set tools

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
620
Kwa tuliopitia primary na secondary enzi za mkapa kurudi chini, ilkuwa kama fashion, Kila mwanafunzi alitamani kumiliki "mkebe" au "compass" (geometry box) Japokuwa wengi wetu hatukuwai kuzitumia achilia mbali kujua vifaa vilivyomo na kazi zake....

Taja kifaa kimojawapo na Kazi zake....
 
pencil ya njano:kwa uchoraji mzuri wa michoro
 
Back
Top Bottom