Majina na Tabia zake

Majina na Tabia zake

EMMANUEL maana yake ni Mungu pamoja nasi,jina hili alilipewa BWANAwetu YESU. Lamda majina kama haya yafuatayo yananipa wasiwasi;ASHA,TABU,SHIDA,MASUMBUKO,RUKIA nk.
 
Nyamayao,

jina hili mara nyingi hutolewa na wazazi pale ambapo watoto
waliomtangulia huyu walifariki,na jina hili hutolewa kama ujumbe
kwa wachawi kuwa haya sasa tumewazalia nyama nyingine,na mara
nyingi watoto hawa huwa wanakuwa watu wazima bila ya matatizo
ya kiafya lakini tatizo lao kubwa huwa hawawezi kusema neno hapana
pale anapofuatwa na mwanaume,hivyo husifika sana kwa kugawa uroda.

Heh! Kwa hiyo anasalimika kuwa nyama ya wachawi anakuwa nyama ya midume.
 
TEH TEH TEH,

It sound kama walikuwa part of you ukawa experiance,,,,,,,,

Anyway ipo kwenye jokes tu......

Majina ya Jakaya huwa wanapenda sana wanawake
JK NI BABA YAKO MDOGO
 
michael carric - soccer EPL
mika richards - soccer EPL
Majina ya Michael wana tabia ya kuwa Nyota e.g.

Michael Jackson - Music

Michael Jordan - Basketball

Michael Schummacha - Formular 1

Michael Owen - Football

Michael Johson - Athletic

Mike "Iron" Tyson - Boxing.
 
Chausiku,Tausi,Sikuzani ni vicheche na micharuko.
 
Tito- vichwa maji
getrude-wapole, mapozi kwa mbali
Salma- Mapepe
 
Majina ya Michael wana tabia ya kuwa Nyota e.g.

Michael Jackson - Music

Michael Jordan - Basketball

Michael Schummacha - Formular 1

Michael Owen - Football

Michael Johson - Athletic

Mike "Iron" Tyson - Boxing.

Vipi kuhusu Michael Wambura - Football?
 
Wenye jina la John ni watani wa kila mtu, wenye vipaji lukuki
na wanapenda sana mambo flani: (pesa zinaweza kufika lakini
si demu wako)...
 
Back
Top Bottom