Babu Anganga
Senior Member
- Jun 13, 2009
- 169
- 106
Akina Consolata ni waaminifu kwa ndoa zao ila wana hasira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yahaya: ni waongo sana.
Zitto: ni wasaliti sana.
Teh teh teh!!!pia mbinafsi wa kutupwa!!
Kina Selina kwa umbea na hasira acha
Jamani geofrey je?
Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa
Kina Geofrey wako very intelligent na smart......ila wanawivu kinoma na wanapenda ushauri sana
??????hawa huwa hawamalizi shule!
absolutely correct!
Kina Selina kwa umbea na hasira acha