Namfikiria rafiki yangu Lameck Mkumbo Maderu a.k.a Mwigulu Nchemba...Lameck - Wana adabu sana
Majina ya mohamed aka med.ni nomaa
Asha kwa umbea ni hatari, John kwa kupenda vya bure na wengi ni wafupi.
Watundu, wakorofi pia huwa kama wehu wehu hivi( hawana akili nzuri)
Namfikiria rafiki yangu Lameck Mkumbo Maderu a.k.a Mwigulu Nchemba...
Michael Bolton - musicianMajina ya Michael wana tabia ya kuwa Nyota e.g.
Michael Jackson - Music
Michael Jordan - Basketball
Michael Schummacha - Formular 1
Michael Owen - Football
Michael Johson - Athletic
Mike "Iron" Tyson - Boxing.
Mh!...Yahaya: ni waongo sana.
Zitto: ni wasaliti sana.