Majina na Tabia zake

Majina na Tabia zake

Kweli kabisa kuhusu Rose aisee, ninayo mifano kabisa yan
 
Majina yanaoanziwa J ni malaya kweli mfano
John
Josephat
James
Jenny
 
Akina juma wapole wanaojali pia wanajua kupenda japo wapo maboya na walevi
 
Majina ya sikuhizi ni ngumu kujua tabia watu wanaiga majina ya mbele huku, sahz bongo kuna watoto wanazaliwa na kupewa majina kama ronaldo, mesi, camila, mariaclara....! Ningumu
 
Vipi kwa wenye majina ya Naomi ,Rahma na jimmy?
 
Frank ni wacheshi, wenye mvuto na wanapendwa sana na mabinti hivyo hawajatulia.
 
Majina ya Michael wana tabia ya kuwa Nyota e.g.

Michael Jackson - Music

Michael Jordan - Basketball

Michael Schummacha - Formular 1

Michael Owen - Football

Michael Johson - Athletic

Mike "Iron" Tyson - Boxing.
Michael Bolton - musician
 
Back
Top Bottom