Nyamayao,
jina hili mara nyingi hutolewa na wazazi pale ambapo watoto
waliomtangulia huyu walifariki,na jina hili hutolewa kama ujumbe
kwa wachawi kuwa haya sasa tumewazalia nyama nyingine,na mara
nyingi watoto hawa huwa wanakuwa watu wazima bila ya matatizo
ya kiafya lakini tatizo lao kubwa huwa hawawezi kusema neno hapana
pale anapofuatwa na mwanaume,hivyo husifika sana kwa kugawa uroda.
Vipi kuhusu jina
BENI - Wacheshi na waongeaji sana
SAUM - Wakorofi na wakimya
HELENI - Wazuri na wanajiona
MATIASI - Wapole na watu wa Ibada sana
GETRUDE - Warembo na wanagawa sana tunda
ZULPHA - Wavivu
ninyi yote ni sawa na Sheikh Yahaya tu
Jackie kwa wanawake huwaga malaya sana alaf wazuri haswaa
Abuu huwaga malaya sana kwa wanaume..
haya.Ukoo wa M.b.or.o kule Moshi nasikia wakali kweli kwa Ngono