Majina na Tabia zake

Majina na Tabia zake

Nyamayao,

jina hili mara nyingi hutolewa na wazazi pale ambapo watoto
waliomtangulia huyu walifariki,na jina hili hutolewa kama ujumbe
kwa wachawi kuwa haya sasa tumewazalia nyama nyingine,na mara
nyingi watoto hawa huwa wanakuwa watu wazima bila ya matatizo
ya kiafya lakini tatizo lao kubwa huwa hawawezi kusema neno hapana
pale anapofuatwa na mwanaume,hivyo husifika sana kwa kugawa uroda.


Huko kwenye RED kuna ukweli? Nijjulishe na mimi nijaribu bahati yangu!
 
Vipi kuhusu jina
BENI - Wacheshi na waongeaji sana
SAUM - Wakorofi na wakimya
HELENI - Wazuri na wanajiona
MATIASI - Wapole na watu wa Ibada sana
GETRUDE - Warembo na wanagawa sana tunda
ZULPHA - Wavivu

majibu yangu hapo juu
 
esther inatumika kwenye vipodozi, kwahiyo lazima mtoto mwenye jina hilo watakuwa wanapenda urembo sana chunguza hilo. pia epuka kumpa jina mtot wako lenye maana ya kujiona yuko juu zaidi ya wenzie unaweza kumuharibu kama atakuwa hafikii uwezo huo eg. king, queen, angel, prince na mengine yanaweza kumbadilisha mwanao tokea anavyo kua. ( sijathibitisha kuwa ukimpa mwanao majina ya wanamziki wakubwa unaweza ukamuondoa kwenye mambo ya uongozi maana watu wengi wenye majina ya wanamziki huwa hawawezi kuongoza , ila bado nafanya research . more results to come)
 
Eve/ Hawa = waongo, washawishi, watafuta huruma, wanajipendekeza! sijajua akina Salma!!
 
Ukoo wa M.b.or.o kule Moshi nasikia wakali kweli kwa Ngono
 
kweli ni wapole kwa sura, wacheshi na wana mvuto. ila sio waaminifu kwenye mapenzi na wanapenda sana kufanya mapenzi
 
Mohammed--Hawa ni washirikina sasa, wagomvi sana na wapenda ngono sana huku wakijifanya wanapenda dini
 
Back
Top Bottom