Wazuri...wanajiskia...kwa mabinti huwaambii kitu!
wakina Fredy je....
kuna wa2 wenye majina ya IRENE ukwel weng wao wanakuwa wazur ila wajinga ile mbaya cjui inakuwaje hapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anne Kilango
Anna Abdallah
.............
Ongezeni mengine na muwape watoto wenu wa kike jina la Anna!
Yana maana gani?Je na haya je:
- Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
- Kingunge Ngombare Mwiru
- Mizengo Kayanza Pinda
Yuda - Waongo
Samson - Wapole
Mateo, Matthew, Mathias - Viwembe
Sarah - ving'ang'anizi
Lameck - Wana adabu sana
Rose - wanajiona
Joshua - Wakarimu, watanashati
Just being honest bro..kutokana na nnaowafahamu!Nawajua wa4 na mmoja wao ni kaka yangu!Ila inawezekana kabisa wewe ni tofauti!Don't take it personal!mmh i i would like to differ
waungwana mno halafu very innocent......... ila wanaudhaifu mmoja....... pls heshima ichukue mkondo jamani kwa atakae comment
inategeme kuna mike makuli na wauza pipi zaidi ya mashuhuri wachache uwatajao ,huo ushirikina no scientific approach hapoMajina ya Michael wana tabia ya kuwa Nyota e.g.
Michael Jackson - Music
Michael Jordan - Basketball
Michael Schummacha - Formular 1
Michael Owen - Football
Michael Johson - Athletic
Mike "Iron" Tyson - Boxing.
Hello wana JF ktk tafiti mbalimbali zinaonyesha wazi majina tunayobatizwa au tunayopewa na wazazi hufanana na tabia ambazo tunakuwa nazo tukifika ukubwani. Na hii hugundulika baada ya kulinganisha watu wawili watatu na kuwafanya sample ktk jina wanalofanana na baadhi ya majina huwa na sifa mbaya.Mfano jina la ASHA watu wenye majina haya wengi wao huwa waongeaji saana,wapenda udaku na mengine mengi na kwa wa vulana jina la EMMANUEL- watu wenye jina hili huwa wapenda ugomvi na wenye sura za upole sana. Huu ni mtazamo wangu je wewe nipe majina mengine na tabia zake na ni je unakubaliana kuwa tabia zinaendana na majina?