Majina (Nicknames) za Rais wa sasa yatakuwa yapi?

Majina (Nicknames) za Rais wa sasa yatakuwa yapi?

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Hayati Magufuli nadhani ndiye alikuwa Rais mwenye nicknames nyingi kati ya Marais waliopita

Baadhi ni Jiwe,chuma,malaika,meko,kayafa.......una mengineyo

Je mama ategemee majina yapi?

NB Nicknames zilitumika sana ili kukwepa makosa ya kimtandao ,je kwa sasa itakuwaje
 
tulia jina linakuja, litaendana na tabia zake. kuna kitu kigogo2014 kadokeza jana
 
Back
Top Bottom