Majina ya ajabu humu jamiiForums

Majina ya ajabu humu jamiiForums

Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
Kuna Majina ya Ajabu haijawahi kutokea(in tundu lissu voice) mpaka mtu unajifikiria hilo jina alijipa au alipewa na mtu ,

Mfano Mtu unajiita kubwa jinga Jr ,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Asee inachekesha sana.

Ati we umeona jina gani La ajabu humu Jamii forum Share hapa tuone.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
@MAKINIKIA
 
Ukweli kabisa Castr anakupenda
Sio mara ya kwanza namuona..
Psychologically nauna anakukubali
Sijui ashakwambia
Nitafurahi kama ananipenda maana ameniondelea mkosi, tokea nizaliwe sijawahi kupendwa na mtu baki zaidi ya wazazi wangu hivyo kama kweli ananipenda na mimi nampenda. Sina shaka anatimiza amri kuu aliyotuachia bwana wetu Yesu Kristu ya UPENDO
 
Safi..
Nadhani upendo wake ni tofauti kidogo..
Anataka wa kuunganisha vikojoleo.
Mara nyingi anakusifia huyu mtu sijui kwa nn
 
Safi..
Nadhani upendo wake ni tofauti kidogo..
Anataka wa kuunganisha vikojoleo.
Mara nyingi anakusifia huyu mtu sijui kwa nn
weka hapa nukuu zake kuonyesha kuwa ana nia hiyo "ovu" juu yangu.
 
Hakyanani hua unampenda chikira lkn unashindwa kumwambia..
Mwambie tu bwana..
Nashindwa kumwanzishia uzi kama wewe ulivyomfanyia yule binti hilo ndiyo tatizo langu.
 
Nashindwa kumwanzishia uzi kama wewe ulivyomfanyia yule binti hilo ndiyo tatizo langu.
Nipe dili hilo basi kamanda
Why uteseke..
Nitakupiga jeki best
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom