mwenda wazimu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 819
- 1,280
Hongera kwa kutambua hiloHili jamaa Mwenda wazimu kweli
@MAKINIKIAKatika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
Kuna Majina ya Ajabu haijawahi kutokea(in tundu lissu voice) mpaka mtu unajifikiria hilo jina alijipa au alipewa na mtu ,
Mfano Mtu unajiita kubwa jinga Jr ,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asee inachekesha sana.
Ati we umeona jina gani La ajabu humu Jamii forum Share hapa tuone.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hakyanani hua unampenda chikira lkn unashindwa kumwambia..
Mwambie tu bwana..
Nitafurahi kama ananipenda maana ameniondelea mkosi, tokea nizaliwe sijawahi kupendwa na mtu baki zaidi ya wazazi wangu hivyo kama kweli ananipenda na mimi nampenda. Sina shaka anatimiza amri kuu aliyotuachia bwana wetu Yesu Kristu ya UPENDOUkweli kabisa Castr anakupenda
Sio mara ya kwanza namuona..
Psychologically nauna anakukubali
Sijui ashakwambia
Safi..Nitafurahi kama ananipenda maana ameniondelea mkosi, tokea nizaliwe sijawahi kupendwa na mtu baki zaidi ya wazazi wangu hivyo kama kweli ananipenda na mimi nampenda. Sina shaka anatimiza amri kuu aliyotuachia bwana wetu Yesu Kristu ya UPENDO
weka hapa nukuu zake kuonyesha kuwa ana nia hiyo "ovu" juu yangu.Safi..
Nadhani upendo wake ni tofauti kidogo..
Anataka wa kuunganisha vikojoleo.
Mara nyingi anakusifia huyu mtu sijui kwa nn
Nashindwa kumwanzishia uzi kama wewe ulivyomfanyia yule binti hilo ndiyo tatizo langu.Hakyanani hua unampenda chikira lkn unashindwa kumwambia..
Mwambie tu bwana..
Sio nia ovu..weka hapa nukuu zake kuonyesha kuwa ana nia hiyo "ovu" juu yangu.
Nipe dili hilo basi kamandaNashindwa kumwanzishia uzi kama wewe ulivyomfanyia yule binti hilo ndiyo tatizo langu.
Mmmmh...mwanaka
.. akili unazo
..kirusi cha ukimwi
..mahondaw
...dume suruali
...ukhuty
MmmmhUkuhty!
Nashindwa kumwanzishia uzi kama wewe ulivyomfanyia yule binti hilo ndiyo tatizo langu.
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππNipe dili hilo basi kamanda
Why uteseke..
Nitakupiga jeki best
Kaka vp