Majina ya ajabu humu jamiiForums

Majina ya ajabu humu jamiiForums

Kuna mmoja ana vituko sana humu na jina lake ndo usiseme ila ina bonge la wadhifa serikalini mara, ila jina lake linawakilisha ayafanyayo
 
Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
Kuna Majina ya Ajabu haijawahi kutokea(in tundu lissu voice) mpaka mtu unajifikiria hilo jina alijipa au alipewa na mtu ,

Mfano Mtu unajiita kubwa jinga Jr ,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Asee inachekesha sana.

Ati we umeona jina gani La ajabu humu Jamii forum Share hapa tuone.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Nanyumpu,shibe kijijini
 
CHIKIRA MTABARI. Later on nikajua ni mtu poa sana kicheko kila post yake.

Jina linawasumbua Mondray na Ray Van Boy, hua wanaandika Chikara
 
Kuna watu majina yao ukilichemsha Ukinywa maji yake unapona(Dawa)
 
Back
Top Bottom