Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Boflo
Nipigie
Mpaka kieleweke
Rungu
siku za karibuni kumekuwa na majina ya ajabu sana hapa JF na yanayofurahisha au kuchekesha...kama Nipigie;chapa nalo..via mobile .tzjamani, kaalamoto, 3D .mchekechoni, drphone,mtembeapeku lol! na mengine kibao ya kufurahisha

Klorokwini,
Quinine,
Asprin,
Acid
Sijui watu wenyewe watakuwa wanafananaje inabid siku moja wana JF tuwe tunakutana hata X moja kwa mwaka. Maana majina mengine yanaweza kuwa yanareflect jins walivyo...te tehe tehe tehe....ila la maria nimelipenda....
Asante kwa kulipenda jina la Maria nae analipenda Semmy Samson:wink2:
Wameiba Kura,
Mchakachuaji.
Bao 3
WikiLeaksBongo
Ivuga
Asante kwa kulipenda jina la Maria nae analipenda Semmy Samson:wink2:
nakuangalia tu ujue.
Nami nakuona baba ukiteleza ukataja la kike navunja pc nikufuate job:wink2:
???????????????????????
Nami nataja la dereva au shamba boi
haaaaaa!!! Nataja la rafiki yako
Utajuuuta kunifahamu:wink2::wink2::wink2:
Kaka kwani vipi hapo kuna swali?nakuangalia tu ujue.