Majina ya ajabu JF

Majina ya ajabu JF

Malaria Sugu
Kudadeki
Mtu wa Pwani
Dar es Salaam
 
wewe leta hoja, majina ya nini?

fidodido

Hoja gani unayotaka wewe?hoja zipo nyingi ukatazwi kuzijadili.Hakuna mtu aliyekulazimisha kuchangia posts,unaweza ukaachana nayo!!
 
Big up kwa wote mnaokubali "mchekechoni" ila huwezi jua kama ni jike au dume, zungu au black, muslim au galatia, miguu na mikono timamu au lemavu japo sio blind maana skrini linaiona, yaani ndio raha ya 'jf' full kujiachia, yet very secretive kama mtandao wa kiintelijesia wa UWT, teh teh teh!
 
siku za karibuni kumekuwa na majina ya ajabu sana hapa JF na yanayofurahisha au kuchekesha...kama Nipigie;chapa nalo..via mobile .tzjamani, kaalamoto, 3D .mchekechoni, drphone,mtembeapeku lol! na mengine kibao ya kufurahisha


Kajwa???
lol..... Id zetu ni burudani kweli.... ila ni kero pia
 
Back
Top Bottom