Ni jina gali ulipolisikia kwa mara ya kwanza lilikushangaza na hukuwahi kudhani kama kuna mtu anaweza kumuita mtoto wake hivo?
Kwa upande wangu kuna majina kama
.kufa
.mabla blaa
.mateso
Nitakushangaa wewe Jf member umebahatika kupata a new baby boy ukamwita MASABURI ! Khaaa!
Au new baby gal ukamwita MWANAMASABURI aisey! Hata comments, thrades zako sitozichangia!.