Majina ya ajabu...

Majina ya ajabu...

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Ni jina gali ulipolisikia kwa mara ya kwanza lilikushangaza na hukuwahi kudhani kama kuna mtu anaweza kumuita mtoto wake hivo?
Kwa upande wangu kuna majina kama
.kufa
.mabla blaa
.mateso
 
Masumbuko,Sijali,Sikustahili Kongosho Nyani Ngabu,Mapambano,Riziki,bishanga,Sidhani,Rutatinamitego..........itaendelea
 
Last edited by a moderator:
Nitakushangaa wewe Jf member umebahatika kupata a new baby boy ukamwita MASABURI ! Khaaa!
Au new baby gal ukamwita MWANAMASABURI aisey! Hata comments, thrades zako sitozichangia!.
 
Kuna jamaa yangu nilisoma nae Mwanza anaitwa SUGWEJO dah nikimkumbuka..
 
ni meng mno...sikujua, sikuzan, mawazo, matatizo,mamboro,fikiria, mapambano, mavuno, ashadii tumbiri, senge,rusiunrollete, tuliza, tula, shahidi, nyani ngabu,
 
Afu nimesahau, wengine wanaitwa eti
kikwete,pinda,mkulo,nundu,ngeleja
khaa!! sa majina gani tena haya.
 
Back
Top Bottom