Majina ya ajabu...

Majina ya ajabu...

siyo siri MBORO lilinistua kidogo, pia HATUJUANI JIRANI
 
Ni jina gali ulipolisikia kwa mara ya kwanza lilikushangaza na hukuwahi kudhani kama kuna mtu anaweza kumuita mtoto wake hivo?
Kwa upande wangu kuna majina kama
.kufa
.mabla blaa
.mateso

makaburi,mbuzi,******,
 
kuna mshikaji nilisoma nae alikuwa anaitwa THEMANINI NOTI,mwingine TAKOTAKO,MYBOY,BAKANGANA MWAKIKAMBAKU,HAVINITISHI,MKEGANI, Loading........!
 
mi nilisikia moja huko kwa wanyakyusa ni noma....ATUFILE ATUPANGUSYE MWAMBOLO
 
Back
Top Bottom