Majina ya diploma maalum UDOM (Third batch)

Majina ya diploma maalum UDOM (Third batch)

huku ccm wanasema mwakan hawtaajili walim
 
hv mtu anaweza pata transfer kutoka private maana kuna waliochaguliwa na kupangiwa private
 
Hivi nini maana ya batch!? Nimeuliza hivyo kwa sababu jina langu lipo batch 1 na pia lipo batch 3. Nashindwa kuelewa, msaada please
 
Batch{mkupuo} yani mule mule tu hata usijal. .kila wakitoa mkupuo wanachanganya na mkupuo wa mwanzo
 
Back
Top Bottom