Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
We acha tu aisee.Duh picha ya mwisho naona utumbo mpana 🙆
Haya mauaji ya kinyama yameichafua nchi na kuleta laana.Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.
Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.
Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.
Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.
Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.
Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume wasio na makazi sehemu.
Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.
Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa.
Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?
Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597783
Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597784
Kuna huyu pia. Huyu kuna clip inamwonyesha kabisa akiwa ndo anavuta pumzi zake za mwisho huku akinyoosha mikono yake kana kwamba anaomba msaada flani.
Alikuwa anaitwa nani? Umri wake? Alizikwa wapi? Nduguze ni akina nani?
View attachment 3597786
JF ni uwanja mpana. Inatembelewa na watu wengi sana.
Kwa mnaojua chochote kuhusu hao watoto na wengineo, changieni chochote mnachokijua kuhusu wao.
Haya mambo ya mauaji na ubakaji yamekuwa kawaida kule Zanzibar, ila wakilalamika waZanzibar kuna watu wakisema nyinyi magaidi bora yawafike. Hawakujua adui hana rafiki au niseme mla kuku wa mwenziwe miguu humuelekea.Kwangu mimi kama mtanzania wa kawaida na mzazi inauma mno. Kwa nini Samia alete waganda washirikiane na vyombo vya ulinzi vya tanzania kuuwa watu hasa watoto, vijana na akina mama wakiwemo wenye mimba na wanaonyonyesha?
So sad. Mungu ni mkuu, atampa kila mmoja haki yake.Kwangu mimi kama mtanzania wa kawaida na mzazi inauma mno. Kwa nini Samia alete waganda washirikiane na vyombo vya ulinzi vya tanzania kuuwa watu hasa watoto, vijana na akina mama wakiwemo wenye mimba na wanaonyonyesha?
Hebu tuone hao waganda mkuuKwangu mimi kama mtanzania wa kawaida na mzazi inauma mno. Kwa nini Samia alete waganda washirikiane na vyombo vya ulinzi vya tanzania kuuwa watu hasa watoto, vijana na akina mama wakiwemo wenye mimba na wanaonyonyesha?
kiki nyingine zinatafutwa kijinga sana aise,Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.
Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.
Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.
Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.
Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.
Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume wasio na makazi sehemu.
Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.
Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa.
Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?
Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597783
Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597784
Kuna huyu pia. Huyu kuna clip inamwonyesha kabisa akiwa ndo anavuta pumzi zake za mwisho huku akinyoosha mikono yake kana kwamba anaomba msaada flani.
Alikuwa anaitwa nani? Umri wake? Alizikwa wapi? Nduguze ni akina nani?
View attachment 3597786
JF ni uwanja mpana. Inatembelewa na watu wengi sana.
Kwa mnaojua chochote kuhusu hao watoto na wengineo, changieni chochote mnachokijua kuhusu wao.
Inasikitisha sana.hii hali hawa wajinga wanaojiita ccm kuna siku watalipia gharama ya uhalifu huu.unaua ili utawale una akili kweli?Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.
Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.
Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.
Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.
Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.
Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume wasio na makazi sehemu.
Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.
Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa.
Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?
Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597783
Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?
View attachment 3597784
Kuna huyu pia. Huyu kuna clip inamwonyesha kabisa akiwa ndo anavuta pumzi zake za mwisho huku akinyoosha mikono yake kana kwamba anaomba msaada flani.
Alikuwa anaitwa nani? Umri wake? Alizikwa wapi? Nduguze ni akina nani?
View attachment 3597786
JF ni uwanja mpana. Inatembelewa na watu wengi sana.
Kwa mnaojua chochote kuhusu hao watoto na wengineo, changieni chochote mnachokijua kuhusu wao.
Majina ya hao watoto ni nani?Tayari orodha n.a. Majina vishaandaliwa