Majina ya hawa watoto waliouliwa…..

Kila nikikumbuka yale matukio machozi yananilengalenga baada ya dada mmoja alikuwa anampeleka mtoto hospital kupigwa risasi na kufa palepale na mengine mengi tu 😥😥😥
 
Wao wanadhani yamepita, yamekwisha

Wamerudi kabisa katika maisha yao ya kawaida

Hawajui tumeyabeba kifuani
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…