Majina ya Kichaga

Majina ya Kichaga

urio
mlingi
shirima
malamsha
shao
shayo
Assenga
mkenda
mrosso
ngowi
laswai
swai
 
Mimi naitwa MAMBORO kaka zangu wanaitwa MBORO

Kule Rombo Usseri/Tarakea
Mboro ni risasi
Mbo ni Nyati
Mseng.e ni fimbo
Mkum* ni upepo

Lugha za watu bana...
 
mmari
masseri
kifumu
mosi
kileo
nkini
maimu
mosha
swai
tesha
kiria
kimaro
boro
 
Kirombo
Sawe
Shirimia
Urio
Kifumu
Kishoka
Kwayu
Kwai
Nyange
Selasini
Mramba
Elifinya
Mattao
Mawenge
 
Acha uongo hakuna kitu kama hicho. Umepatia Uforo tu lakini mengine hola!

halafu sio UFORO ni OFORO,

Mimi sas animeshoka na nyie watu mlioolewa uchagani, kila siku kuongelea tabia za kichaga, majina ya kichaga, wachaga hiki, wachaga kile, inafu is inafu, leo tutaje majina ya wengine............

Mapunda,
ngoNYANI
Fisi
Makunguru
Mbawala
naKOMBA

na makabila mengine, inafu na wagacha/wachaga
 
shemlungu, shemhuna, shetani.shehata na wengine wengi hawa pia wapo
 
Ukhanith huu leo majina ya Kichaga kesho ya kinyamwezi halafu ya kimasai. Wacheni ukabila. Pumbafff. Ekeni mambo ya maana hapa. Mavutu wahed.

Mbona unang'aka huna kabila au we mzenj?
Mbona nina mpango wachagga wakimaliza tuorodheshe ya kimasai, naanza na la babu yangu: 'Lekina Ole Meiting'ieki lol Massangwa'
 
Back
Top Bottom