Majina ya Kichaga

Majina ya Kichaga

Mh, uku nimeingia siko manake hizo mofimu zinazotumika nahisi kudata!?!?!**:eyebrows:*!?
 
Mh, huku nimeingia siko manake hizo mofimu zinazotumika nahisi kudata!?!?!**:eyebrows:*!?

usichoke baba!habari ndo hiyo!kwani umechanganyikiwa kwenye nini?kama ni mboro ni ukoo wa watu huo!
 
Huwa hawasemi Mboro na kuishia hapo.Wanasema Mboro ya Womi.Wakimaanisha Ukoo wa Wanaume
 
Nani amekwambia wanaona aibu.Aibu unaiona wewe usiejua maana ya jina Mboro.Mimi ni Mboro and Im proud.
 
Mkaleso
Mkashai
Ruaichi
ngeleshi
makimboka
Aikunda
nsiande
ksobori
mamdeny
 
Mkaleso
Mkashai
Ruaichi
ngeleshi
makimboka
Aikunda
nsiande
ksobori
mamdeny

Yaan hawa wachagga noma ndiz mbivu wanasema Makundu. nilikuwa mosh siku c nyingi kuna jiran alikuwa anamwita mmama mmoja hivi /mamboro dah nlishangaa sana
 
Last edited by a moderator:
Kule Rombo Usseri/Tarakea
Mboro ni risasi
Mbo ni Nyati
Mseng.e ni fimbo
Mkum* ni upepo

Lugha za watu bana...

Acha fix wewe, fimbo inaitwa MSENGYE
 
KAWICHE. Wengi wanashindwa kutofautisha hli jna na kuita KAVICHE!
Aisee huwa nachukiaa[emoji35]
 
Mambo,
Kiwesa,
Sawe,
Ndosa,
Kimaro,
Kimario,
Noelia,
Ikunda,
Nkya,
Ndesamburo,
Minja,
Marangu,
Moleli
 
Back
Top Bottom