Majina ya Kijerumani kwa miji ya Tz wakati wa ukoloni

Majina ya Kijerumani kwa miji ya Tz wakati wa ukoloni

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Majina ya Kijerumani kwa miji ya
Tanzania wakati wa utawala wa
Kijerumani 'DeutschOstAfrika'
Bismarckburg (Kasanga)
Kilimandscharo (Kilimanjaro)
Wilhelmstal (Lushoto)
Weidmannsheil (Tabora)
Neu Langenburg (Tukuyu)
Neu Gottorp (Uvinza)
 
Majina ya Kijerumani kwa miji ya
Tanzania wakati wa utawala wa
Kijerumani 'DeutschOstAfrika'
Bismarckburg (Kasanga)
Kilimandscharo (Kilimanjaro)
Wilhelmstal (Lushoto)
Weidmannsheil (Tabora)
Neu Langenburg (Tukuyu)
Neu Gottorp (Uvinza)

Asante kwa hii kitu! Ila hapo Lushoto ni Wilhelm(stadt/staad)? stadt-town or city, staad for estate.
 
(wurzburg road)barabara inayoelekea Bugando Hospital Mwanza
 
Majina ya Kijerumani kwa miji ya
Tanzania wakati wa utawala wa
Kijerumani 'DeutschOstAfrika'
Bismarckburg (Kasanga)
Kilimandscharo (Kilimanjaro)
Wilhelmstal (Lushoto)
Weidmannsheil (Tabora)
Neu Langenburg (Tukuyu)
Neu Gottorp (Uvinza)
hii niliiiona kwa Zitto facebook
 
Last edited by a moderator:
NASIKIA jangwani sec school ilianzishwa na wajerumani-kuna mtu anaijua historia yake,na iliitwa jina gani??? nasikia pia bahari ilikuwa imefika mpaka maeneo ya club ya yanga mpaka mchikichi-enzi hizi maeneo hayo kulikuwa na beach watu wakienda kupunga upepo-shule ingine ya zamani nasikia ni Uhuru pale kariakoo
 
Lushoto karibu na chuo cha mahakama zamani chuo cha ccm kuna kijiji kinaitwa Dochi, asili yake ni neno Dutch, nimekulia hapo
 
Back
Top Bottom