Majina ya Kijerumani kwa miji ya Tz wakati wa ukoloni

Majina ya Kijerumani kwa miji ya Tz wakati wa ukoloni

tungetawaliwa na Wajerumani mpaka angalao miaka ya 1990s hivi, tungekuwa mbali sana kimaendeleo ingawa chamoto tungekiona.
 
Bujibuji bana eti "MPOMABIVA!" Tukuyu kuna hotel/Guest inaitwa Langibogi nadhani ilikuwa ya Majeremani!
 
Back
Top Bottom