GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Wenye majina hayo huwa wanakuwaga vicheche.Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa,
1: Patricious
2: Rose
3: Hammisa
4: Loveness
5: Latifa
6: Cathelin
7: Elisy
unaweza kuongezea zaidi,
McKenzie ni surname sidhani kama ni first name tena ya kike. Nipo tayari kurekebishwaMcKenzie
Saada
Ikupa
Tekla
Mwanakwetu
Mwantum mcharuko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uyongaza Milolo mwantumu sauna mzoni nk
Nyangeta, Nyafuru, Nyakwesi....
Niko nyuma yako nakazia kwa nguvu sanaHajar
McKenzie ni surname sidhani kama ni first name tena ya kike. Nipo tayari kurekebishwa
Sent using Jamii Forums mobile app