mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mdau naona ka mind mimi kusema nipo nyuma yako nakaziaSijawaelewa mjue?
Alipokua anaendelea kushangaa ikabidi nimwambie akaushe/apotezee.....ushanielewa sasa Hajar?😉😉😉[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Bora umuulize Hajar maana ni maneno ya kawaida sanaMmmh. Kwani umeelewaje Mkuu nieleweshe na mie?
Utaweza kumzuia mtu kuongea au hata kuandika lakini huwezi mzuia mtu asiwaze au kufikiri HajarOoh. Duuh! Ye amejua ni ukweli nini?
Mie namshukuru Allah niko salama kabisa.
Kaushaaa😉😉😉Nishakuelewa. Haya Sesten wacha na mie nikaushe. Teh teh teh
Hahahaaa, ukinitusi wewe unajua itakua furaha yangu kubwa sana HajarNgoja aje atueleweshe sababu huenda ikawa mie na wewe vitu vikubwa tunavichukulia vidogo.
Japokuwa na mie pia nimeona ni neno la kawaida na ndio sababu nikakujibu kikawaida. Au alitaka nikutusi nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Biriani ya kuku, ya mbuzi, ya ng'ombe au ya kondoo Hajar?Kweli kabisa Sesten.
Hahahaaa. Nakudai biriani hapa ujue. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
viveysherKuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa,
1: Patricious
2: Rose
3: Hammisa
4: Loveness
5: Latifa
6: Catherine
7: Elisy
unaweza kuongezea zaidi,
Haya maongezi yenu chondechonde yasinihusishe....Kweli kabisa. Naweza kaa wala lisionekane kama nalo liko romantic. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajar kimenuka usogee huku popote ulipo, Babu Asprin kaibuka anataka kujua kinachoendeleaNaomba muhtasari wa hili jambo haraka sana
Samira[emoji1] [emoji1] [emoji119]Fatma
Shamsa
skiner
jamila
samira
nuzhat
muzdat
hannan