chrispny Member Joined Oct 9, 2014 Posts 71 Reaction score 12 Sep 24, 2024 #1 Habari za zenu wakuu. Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana. Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
Habari za zenu wakuu. Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana. Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
S Sing bad Senior Member Joined Sep 10, 2024 Posts 149 Reaction score 155 Sep 24, 2024 #2 Ngoja Tuwasubirie Wajuzi wa Mambo Waje Watuabarishe Vizuri, Binafsi Ata Mimi Nilikuwa Nataka Mwongozo wa ili Jambo
Ngoja Tuwasubirie Wajuzi wa Mambo Waje Watuabarishe Vizuri, Binafsi Ata Mimi Nilikuwa Nataka Mwongozo wa ili Jambo
I INNOXVII Member Joined Apr 2, 2020 Posts 58 Reaction score 28 Oct 1, 2024 #3 Imeisha hiyo mzee, subiri next time