Majina ya maeneo mkoa wa Mbeya,Songwe na Iringa

Majina ya maeneo mkoa wa Mbeya,Songwe na Iringa

GUI1

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
4,007
Reaction score
5,290
Wakuu habari,
Nimejikutanafikiria kwann majina ya vijiji/vitongoji/ mitaa ya mikoa tajwa hapo juu inaazia na herufi "I"?
Kwa mfano mkoa wa
Mbeya una majina haya: Inyara, Iyunga, Ituha, Igazo, Itewe, Igawilo n.k
Iringa: Ilula, Isimani, Idodi, Ifunda n.k
Songwe: Isensanya, Ipapa, Igamba n.k
Je kuna anae jua sababu inaweza kuwa nini?
 
Naelewa maana ya Igawilo tu,kila mwezi wa Tisa kama sikosei vijiji vyote ukanda wa Wasafwa walikuwa wanazima moto kaya zote.Igawilo ndipo walipoenda kupewa machifu moto mwingine wakwenda nao kwenye vijiji vyao.Ndipo lilipotokea jina Igawilo.ila sehemu nyingine sijapata bado historia zao
 
Nadhani 'I' ina maana ya kitu fulani kikubwa, au cha ajabu
 
IRINGA: Isimikinyi, Ipogoro, Ilula, Isimani, Idodi, Ifunda, Ilala
 
Ghana, Nonde, Majengo, Mbata, Soko Matola, Jacaranda, Mabatini, Meta, Mbalizi Road, Forest, Sinde, Stereo, Mafiat, Kabwe, Mwanjelwa, Soweto, Mama John, Sae, Uyole. Hiyo ni neighborhood. Simike Nzovwe
 
Ghana, Nonde, Majengo, Mbata, Soko Matola, Jacaranda, Mabatini, Meta, Mbalizi Road, Forest, Sinde, Stereo, Mafiat, Kabwe, Mwanjelwa, Soweto, Mama John, Sae, Uyole. Hiyo ni neighborhood. Simike Nzovwe
Kwa hiyo unapinga hoja mkuu? Au
 
IRINGA: Isimikinyi, Ipogoro, Ilula, Isimani, Idodi, Ifunda, Ilala
Itona, Ibwanzi, Ifwagi, Itimbo, Ilandutwa, Ikonongo, Igomaa, Ihanu, Ilambilole, Ikonongo, Ifupira....
 
Ghana, Nonde, Majengo, Mbata, Soko Matola, Jacaranda, Mabatini, Meta, Mbalizi Road, Forest, Sinde, Stereo, Mafiat, Kabwe, Mwanjelwa, Soweto, Mama John, Sae, Uyole. Hiyo ni neighborhood. Simike Nzovwe
874a00a5db9ffd92719e6c7f54682230.jpg

Najua utakuwa sio mgeni na maeneo haya
 
Back
Top Bottom