mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,962
- 2,477
Kwa wahehe ni tofauti kidogo...wahehe mwa huongezwa kwa mwanaume...kwahiyo ukiona mhehe anamuita mtu anaanzia na mwa( mfano wewe ukiitwa mwa andjul) basi jua kabisa huyo anayeitwa ni wakiume....na ukiona anavyoita anaanzia n SE basi huyo ni mwanamke. Mfano ukoo wa mwakalinga upo mbeya ila Iringa tuna karinga tu japo ni wamoja.Hata wanyakyusa/wandali wanawake hawana Mwa... Kwa mnyakyusa Mwakyusa (me),Kyusa (ke). Mundali - Mwambene (me) na Nambene (ke)