Kwa wahehe ni tofauti kidogo...wahehe mwa huongezwa kwa mwanaume...kwahiyo ukiona mhehe anamuita mtu anaanzia na mwa( mfano wewe ukiitwa mwa andjul) basi jua kabisa huyo anayeitwa ni wakiume....na ukiona anavyoita anaanzia n SE basi huyo ni mwanamke. Mfano ukoo wa mwakalinga upo mbeya ila Iringa tuna karinga tu japo ni wamoja.Hata wanyakyusa/wandali wanawake hawana Mwa... Kwa mnyakyusa Mwakyusa (me),Kyusa (ke). Mundali - Mwambene (me) na Nambene (ke)
Kwa Dauseni hiyo. Mbeya kutamu mno
Najua utakuwa sio mgeni na maeneo haya
Mengi siyo ya asili.Ghana, Nonde, Majengo, Mbata, Soko Matola, Jacaranda, Mabatini, Meta, Mbalizi Road, Forest, Sinde, Stereo, Mafiat, Kabwe, Mwanjelwa, Soweto, Mama John, Sae, Uyole. Hiyo ni neighborhood. Simike Nzovwe
Hakika mkuu.Kwa Dauseni hiyo. Mbeya kutamu mno
Itona, Ibwanzi, Ifwagi, Itimbo, Ilandutwa, Ikonongo, Igomaa, Ihanu, Ilambilole, Ikonongo, Ifupira....
Ichenjezya..Itaka...Songwe: Isensanya, Ipapa, Igamba n.k
Umeeleza vyema na upo sahihi. Kalinga ni ukoo kwa Iringa lkn unavo address mwanaume unasema Mwa-Kalinga na unavoaddress mwanamke unaita Se-KalingaKwa wahehe ni tofauti kidogo...wahehe mwa huongezwa kwa mwanaume...kwahiyo ukiona mhehe anamuita mtu anaanzia na mwa( mfano wewe ukiitwa mwa andjul) basi jua kabisa huyo anayeitwa ni wakiume....na ukiona anavyoita anaanzia n SE basi huyo ni mwanamke. Mfano ukoo wa mwakalinga upo mbeya ila Iringa tuna karinga tu japo ni wamoja.
Safihiyo ni lughaya kisafwa na hayo maeneo yote uliyotaja ni maeneo yao,''I'' ni definite article,yaani ni sawa na kusema THE kwenye kiingereza,The white House,The nk inaonyesha hayo maeeneo yalikuwa na sifa fulani kwa wasafwa yakawa yanaanzia I... sijui kama nimejibu vizuri swali lako ingawa sio msafwa ila nimekaa nao sana kwa kiasi fulani nasiki sikia lugha yao