Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hii Toyota ISIS sijui waliingia ubia na magaidi?MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.
View attachment 1799980
Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake .
katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa . dhumuni kubwa lilikuwa kushindana katika soko la biashara ya magari nje ya nchi.
Kimaandishi kwa kijapani TOYODA , inatumia alfabeti 10 . TOYOTA inatumia alfabeti 8 . kwa mujibu wa wajapani namba 8 ni namba ya bahati , ikampendeza mr. toyoda kuita kampuni Toyota.
Katika logo ya TOYOTA kuna ubunifu , siri na maana kubwa . logo ya Toyota ambayo imechorwa kama zero na michoro ndani yake . kuna “T” iliyojificha , ikimaanisha herufi ya kwanza ya Toyota. Kuna maneno yote sita kwa alfabeti yaliyojificha yakimaanisha neno Toyota .
Maana halisi ya logo hiyo , iliyoanzishwa tangu mwaka 1990 katika muundo wa overlapping ellipses logo , inamaanisha muunganiko wa moyo wa mteja na moyo wa bidhaa za Toyota.
Majina mengi ya Toyota model , yalianzishwa na maana zake kwa sisi watu wa kiroho kila gari , muundaji alilinenea jambo na hayo lazima yataambatana na gari husika. Unaweza kuchagua kwa ubora na matumizi yako pia . kuna majina kama haya ya Toyota mfano.
TOYOTA RAV4 - ni kifupi cha maneno recreational active vehicles with 4wd . yaani ni magari ya mapumziko hasa Kama unaenda kupumzika sehemu za pembezoni mwa mji , zisizo na barabara bora ( outdoors recreation activities ). Waliziweka katika kundi la SUV cars ( sport utility vehicles).
TOYOTA HILUX – mkusanyiko wa maneno high na luxury . kiingereza
TOYOTA CARINA – ni mkusanyiko wa nyota kijapani.
TOYOTA HIACE – ikimaanisha TOYOACE na wakaweka HI (high) , ikiashiria kuwa imepita matoleo yote ya “ACE” ambayo yalikuwa magari kwa ajili ya kubeba wafanyakazi .
TOYOTA LAND CRUISER – neno la kijapani lilitolewa likimaanisha kwenda popote . neno la kizungu likauzika zaidi na kuita land cruiser.
TOYOTA SIENNA - jina hili lilitolewa kwa heshima ya mji wa sienna italia.
TOYOTA ALTEZA – kwa maana ya neno la kiitaliano likimaanisha heshima na urefu wa kitu.
TOYOTA VEROSSA – limepewa kutokana na neno la kiitaliano VERO( ukweli), na ROSSO ( nyekundu ).
TOYOTA KLUGER – imetokana na neno la kijerumani , kisifa (adjectives) , ikimaanisha “KLUG” , ikimaanisha busara au nzuri. Kuna kuger l na v . l =liberty na v= victory .
TOYOTA VANGUARD –ni neno lililomaanisha kwa wajapani , wale waliombele katika maendeleo . neno la kiingereza likauzika zaidi … na hili ndilo gari nilipendalo sana.
TOYOTA COASTER – ni neno au jina la meli inayobeba mizigo kutoka bandari moja kwenda nyingine .
TOYOTA NOAH - limetokana na neno la kijapani sauti nyororo, ya kuburudisha .
TOYOTA HARRIER – ni ndege anayewinda kama tai au mwewe .
TOYOTA PASSO – hatua ,steps
TOYOTA IST - Ni kifupisho cha mwisho kutokana na maneno ya mwisho kama stylist , artist nk . ambao ni watu wenye shauku na kitu Fulani .
TOYOTA DYNA – ni magari ambayo yalibuniwa na wafanyakazi wenyewe wa Toyota , wakamaanisha neno , DYNAMIC kwa kiingereza
View attachment 1799977
Na Toyota zingine...
Inawezeka ni electronically limited kwa sababu za kiusalama watundu wakichakachua inaweza kwenda zaidi ya hapo,GXV8-240km/h(diesel),VXV8-260km/h(petrol) kuna toleo baada ya hizi zina 180km/h.Hapa ndio naomba mnitoe tongo tongo wakuu Kuna landcruicer V8 Ina speed 180 kph alafu ni ya mwaka 2019 alafu Kuna 260kph pia ya mwaka huo huo je tofauti hapa ikoje ?
180 ni sawa na 260?Hapa ndio naomba mnitoe tongo tongo wakuu Kuna landcruicer V8 Ina speed 180 kph alafu ni ya mwaka 2019 alafu Kuna 260kph pia ya mwaka huo huo je tofauti hapa ikoje ?
Mwanzoni mwa miaka ya tisini nilifanya kazi kwa muda mfupi kwenye karakana mojawapo ya Toyota pale Toyota city Nagoya. Elewa kuwa magari ya Toyota huwa hayaundwi sehemu moja, kila gari lina kiwanda chake tofauti, kwa mfamno miaka hiyo kiwanda cha Carina kilikuwa Tokyo, wakati kiwanda cha Corolla kilikuwa hapo hapo Toyota City (Aichi), Nagoya.MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.
View attachment 1799980
Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake .
katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa . dhumuni kubwa lilikuwa kushindana katika soko la biashara ya magari nje ya nchi.
Kimaandishi kwa kijapani TOYODA , inatumia alfabeti 10 . TOYOTA inatumia alfabeti 8 . kwa mujibu wa wajapani namba 8 ni namba ya bahati , ikampendeza mr. toyoda kuita kampuni Toyota.
Katika logo ya TOYOTA kuna ubunifu , siri na maana kubwa . logo ya Toyota ambayo imechorwa kama zero na michoro ndani yake . kuna “T” iliyojificha , ikimaanisha herufi ya kwanza ya Toyota. Kuna maneno yote sita kwa alfabeti yaliyojificha yakimaanisha neno Toyota .
Maana halisi ya logo hiyo , iliyoanzishwa tangu mwaka 1990 katika muundo wa overlapping ellipses logo , inamaanisha muunganiko wa moyo wa mteja na moyo wa bidhaa za Toyota.
Majina mengi ya Toyota model , yalianzishwa na maana zake kwa sisi watu wa kiroho kila gari , muundaji alilinenea jambo na hayo lazima yataambatana na gari husika. Unaweza kuchagua kwa ubora na matumizi yako pia . kuna majina kama haya ya Toyota mfano.
TOYOTA RAV4 - ni kifupi cha maneno recreational active vehicles with 4wd . yaani ni magari ya mapumziko hasa Kama unaenda kupumzika sehemu za pembezoni mwa mji , zisizo na barabara bora ( outdoors recreation activities ). Waliziweka katika kundi la SUV cars ( sport utility vehicles).
TOYOTA HILUX – mkusanyiko wa maneno high na luxury . kiingereza
TOYOTA CARINA – ni mkusanyiko wa nyota kijapani.
TOYOTA HIACE – ikimaanisha TOYOACE na wakaweka HI (high) , ikiashiria kuwa imepita matoleo yote ya “ACE” ambayo yalikuwa magari kwa ajili ya kubeba wafanyakazi .
TOYOTA LAND CRUISER – neno la kijapani lilitolewa likimaanisha kwenda popote . neno la kizungu likauzika zaidi na kuita land cruiser.
TOYOTA SIENNA - jina hili lilitolewa kwa heshima ya mji wa sienna italia.
TOYOTA ALTEZA – kwa maana ya neno la kiitaliano likimaanisha heshima na urefu wa kitu.
TOYOTA VEROSSA – limepewa kutokana na neno la kiitaliano VERO( ukweli), na ROSSO ( nyekundu ).
TOYOTA KLUGER – imetokana na neno la kijerumani , kisifa (adjectives) , ikimaanisha “KLUG” , ikimaanisha busara au nzuri. Kuna kuger l na v . l =liberty na v= victory .
TOYOTA VANGUARD –ni neno lililomaanisha kwa wajapani , wale waliombele katika maendeleo . neno la kiingereza likauzika zaidi … na hili ndilo gari nilipendalo sana.
TOYOTA COASTER – ni neno au jina la meli inayobeba mizigo kutoka bandari moja kwenda nyingine .
TOYOTA NOAH - limetokana na neno la kijapani sauti nyororo, ya kuburudisha .
TOYOTA HARRIER – ni ndege anayewinda kama tai au mwewe .
TOYOTA PASSO – hatua ,steps
TOYOTA IST - Ni kifupisho cha mwisho kutokana na maneno ya mwisho kama stylist , artist nk . ambao ni watu wenye shauku na kitu Fulani .
TOYOTA DYNA – ni magari ambayo yalibuniwa na wafanyakazi wenyewe wa Toyota , wakamaanisha neno , DYNAMIC kwa kiingereza
View attachment 1799977
Na Toyota zingine...
Nimesoma kwa uzuri ila nilicho elewa ni kuwa kwenye maana fulani ya neno huwa na nadharia nyingi sana.Mwanzoni mwa miaka ya tisini nilifanya kazi kwa muda mfupi kwenye karakakana mojawapo ya Toyota pale Toyota city Nagoya. Elewa kuwa magari ya toyota huwa hayaundwi sehemu moja, kila gari lina kiwanda chake tofauti, kwa mfamno miaka hiyo kiwanda cha Carina kilikuwa Tokyo, wakati kiwanda cha Corolla kilikuwa hapo hapo Toyota City (Aichi), Nagoya.
Chanzo cha kampuni hii ni kwenye mashine za kufuma nguo (looms) ambazo ndiyo ilikuwa biashara kubwa ya Sakichi Toyoda; babu wa Toyota. Jamaa huyu aliamua kumsomesha mtoto wake Kiichiro Toyoda elimu ya Mechanical Engineeringi huko MIT marekani kusudi akirudi aweze kuboresha mashine zao za kusuka nguo walizokuwa wanatengeneza wakati huo. Hata hivyo Kiichiro akiwa marekani, aliona Ford wakitengezea magari na akapenda sana kujiingiza kwenye biashara ya magari, kwa shiyo siku moja akiwa mwanafunzi wa MIT alitembelea kiwanda cha Ford huko Detroit na kupiga picha nyingi sana za production process. Kwa vile alikuwa na elimu nzuri ya engineering, ilikuwa ni rahisi kwanye kufanya revrese engoineering kutoka kwenye picha hizo. gAlivyorudi japana, akajikita kwenye utegenezaji wa magari badala ya kutengeza mashine za kufuma nguo. Gari la kwanza alilotengeneza lilikuwa lionyeshwe kwa mfalme lakini kwenye safari yake ya kutoka Nagoya kwenye Tokyo likavunjia crankshaft mara nyingi sana; iliwachukua zaidi ya siku kumi kulifikisha Tokyo. Hata walipofika Tokyo, bado crankshaft nyingine ilivunjika wangali kwenye uwanja wa maonyesho. Mfalme akaagiza kuwa utawala wake uisadiea Toyoda ili iweze kufikia lengo lake la kujenga magari Japan. Walibadilisha jina kutoka Toyoda kuwa Toyota kwa sababu walidhania Toyoda ilikuwa haisikiki vizuri kwa watu wasikuwa wajapani; hakukuwa na maana ya bahati au nini.
Majina ya magari yote ya toyota hubuniwa kwa ajili ya kuvutia soko tu, at least mpaka mwaka 1994; huwa hayatokani na lugha ya kijapani. Kwa mfano Land-Cruiser ilibuniwa ili kushindana na Land-Rover, Carina ilikuwa designed kushindana na Ford Cortina.
Sikuja na maana ya kwangu bali nimekuambia niliyotoa Toyota City mwaka 1994. Kama yako ni ya baada ya mwaka 1994, basi uko sahihi ila kama ni tafsiri ya historia nzima ya majina ya Toyota, basi fanya review tena. Hata kubadilisha jina kutoka Toyoda kuwa Toyota ilikuwa ni kwa sababu ya soko tuNimesoma kwa uzuri ila nilicho elewa ni kuwa kwenye maana fulani ya neno huwa na nadharia nyingi sana.
Hapo kila mtu huja na yake
Kwahiyo wewe ndiye umeibiwa? Utafute humu utaukuta umeletwa na mtu kabla yakoNimeutoa kwenye channel yangu YouTube
Torque and horse power.Hapa ndio naomba mnitoe tongo tongo wakuu Kuna landcruicer V8 Ina speed 180 kph alafu ni ya mwaka 2019 alafu Kuna 260kph pia ya mwaka huo huo je tofauti hapa ikoje ?