Majina ya Makamanda wanaotajwa sana kumrithi Kiongozi Mkuu wa Hamas aliyeuawa ni Mohammed Sinwar, Al Hayya na Khaled Meshaal

Majina ya Makamanda wanaotajwa sana kumrithi Kiongozi Mkuu wa Hamas aliyeuawa ni Mohammed Sinwar, Al Hayya na Khaled Meshaal

Vyovyote iwavyo hatutaki mtu wa cease fire hil goma either waishe wote au taifa la palestine lipatikane anything kuhusu cease fire loss kwao hawatapata faida yoyote

Ushauri wako ingekuwa mzuri Kama ungeenda kushiriki vita.
 
Labda Pepopunda, huyo jamaa alikua katili hatari, kawahi kuamrisha mtu amzike kwa kumfukia ndugu yake kwa kijiko akiwa hai......kmmmk....yani kaburi linachimbwa, ndugu yako anafungwa kamba anatumbukizwa akiwa hai afu unaambiwa mfukie kwa kijiko cha chai....huyo jamaa ni katili balaa

Ndio maana amekufa kifo Cha kikatili, kumbe alikuwa Hana ubinadamu.
 
Hahahah naongea hivyo kwakua najua ndicho kitakachotokea najua msimamo wa dini kwa kua tunashare nao dini moja ningekuwa palestine saivi niko viungani na AK

Na mwaka huu Israel hasikii la mtu. Anapiga shule na makambi mpaka wananchi wenyewe wagombea Pooh na kiwakataa magaidi.
 
Na huo ukatili wake hajafikia robo ya ukatili wa mazayuni hilo mbona dogo sana

Israel walimtibu kansa ya ubongo wakaokoa uhai wake. Halafu wewe unadai ni makatili. Si wangemuacha afe huko gerezani. Tena wakamkubalia asome kiyunani mpaka akakielewa.
 
Israel walimtibu kansa ya ubongo wakaokoa uhai wake. Halafu wewe unadai ni makatili. Si wangemuacha afe huko gerezani. Tena wakamkubalia asome kiyunani mpaka akakielewa.
Huwajui mazayuni wewe wanachoma watu wasio na hatia kwenye matenti huo ni ubinadamu?
 
mimi pepo ya hivyo siitaki. pepo ya wasilamu inavutia kuingia.
Zero IQ asiikose hiyo Pepo ya uchakataji. Kuwaridhisha bikra 72 inatakiwa uwalale angalau watano Kwa siku hiyo inamaanisha huko Peponi kazi ni Moja tuu kushinda bila nguo
 
Huenda akatokea mwenye misimamo ya wastani asiyetaka vita akaomba mkataba wa amani
 
Huenda akatokea mwenye misimamo ya wastani asiyetaka vita akaomba mkataba wa amani
Ndio wanachoomba saivi mazayuni atokee kiongozi wa namna hio ila washayatimba.

Moja ya Quotes za hotuba ya leo ya hamas

We will not surrender, we will win or die... "as a prisoner, a leader and a martyr"

The martyr, the leader, the hero, the mujahid Yahya Sinwar "Abu Ibrahim"
 
Alhamdulillah hajafia kitandani alipigania ardhi yake na sasa yuko peponi wengine wataendelea alipoishia
Screenshot_2024-10-18-16-31-27-978_com.twitter.android~2.jpg

Kafa akirushia drone fimbo.
 
Ndio wanachoomba saivi mazayuni atokee kiongozi wa namna hio ila washayatimba.

Moja ya Quotes za hotuba ya leo ya hamas

We will not surrender, we will win or die... "as a prisoner, a leader and a martyr"

The martyr, the leader, the hero, the mujahid Yahya Sinwar "Abu Ibrahim"
 
Video hiyo hapo kafa kama panya shimoni. Sijui kama atapewa hata mabikra 30 kwa hiki kifo.
I love it whenever I see this picture he was very aggressive man what a mujaheed, he was front
Alikuwa panya tu. Kafa kibwege akirushia drone fimbo ....
 
Back
Top Bottom