Brother nifanyie mpango wa ile number naona umesahau-- uni offer ya vodaKambarange>>>> Kambarage
Oooh nilisahau...namba hii 0744 219398 mpigie mwambie unahitaji kuunganishwa university offer utafuata maelekezo mkuuBrother nifanyie mpango wa ile number naona umesahau-- uni offer ya voda
Hakuna pahala nafikiri nimefeli,hoja yangu ni kwamba kuna herufi M katika hayo majina pasipokujali imetokana na nomino ama heshima.Chief vp? Hivi unafeli wapi wakati mara nyingi hadhi ya mtu huoneshwa kwa ngeli ya A - WA au YU-A-WA.
Hilo sio jina bali ni hadhi tu, na hadhi nyingi ni lazima zianzie hivyo nenda kaangalie umoja na wingi wake ukoje.
Kasome kiswahili. Vile vile vitu vingi, miti, matunda, wanyama hapa duniani majina yake yameanzia na M. Hii mada isiwe ni chanzo cha kulink kujitokeza hizo M nyingi na Ufreemason.
Bora ungesema herufi "i" maana hiyo "m" umeilazimisha kidogo.[emoji144]Uko sahihi,ila pamoja na hayo hilo jina la heshima limeanzia na M.
Kwahiyo kama kulikuwa na lengo basi limetimia pasipo kujali ni halisi ama la kutengeneza,I mean la heshima.
Asante sana chiefOooh nilisahau...namba hii 0744 219398 mpigie mwambie unahitaji kuunganishwa university offer utafuata maelekezo mkuu
Alipataga uprofesa kabisa mkuuMkuu usimnyime JK hadhi yake, anaitwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
Uwiii hahahahaWewe trend unaiona kabisa halafu unaimba "low ASA" " low ASA " wakati hakuna M pale
poapoaAsante sana chief
Hapo sasa mimi sijui, nachojua alitunukiwa Doctorate ya heshima tuAlipataga uprofesa kabisa mkuu
Hahaha utasikia freemason.Lakini na wewe hata neno MWALIMU kweli umeliweka kama jina la raisi? tafuta kazi angalau uwe bize kidogo.Wakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
Kwani na hiyo Mwalimu ni moja ya jina la Nyerere? Huo ni utambulisho wa taaluma yake kama ambavyo na Mwinyi na Magufuli wangeweza kuandika maana wote hao ni walimu.Mwalimu Julius Kambarage Nyerere