Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Kama ni hivyo basi
1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Mwalimu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi
3. Mwalimu, Daktari John Pombe Magufuli.
Kwavile unalazimisha kuweka M kwenye jina la Nyerere basi na hao pia ni walimu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nimecheka sana, hivi wewe jamaa haulijui hata jina la baba wa taifa??
 
Kwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
Ka(m)barage
 
Kwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
KaMbarage.. Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga???
 
Wakuu habari zenu,

Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
Mwalim sio jina lake!ni umaarufu wake na cheo chake
 
Kweny majina ya Nyerere, jina Mwalimu halipo. Angalia certificates zake hutaona jina Mwalimu
 
Nimecheka sana, hivi wewe jamaa haulijui hata jina la baba wa taifa??
Nalijua mkuu ndio maana nikasema pasipo kujali kama ni cheo ama jina lake halisi kuna herufi M
Hoja hapa sio lazima hiyo herufi iwe kwenye majina yaliyo katika kundi la proper nouns.
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Mtoa mada kaweka hivi[emoji115] [emoji115]
Sasa wewe unapata wapi jeuri ya kulazimisha dirisha kuwa mlango?
Nahisi ukizeeka utakuwa mchawi wewe sio bure, duh!
Kwenye kaMbarage huoni
 
Inatokea tu ila hisia zako,nyerere hana m,hiyo uliyo itolea mfano hapo ni cheo.vp angekuwa injinia?pangekuwa na m?
 
Kama ni hivyo basi
1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Mwalimu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi
3. Mwalimu, Daktari John Pombe Magufuli.
Kwavile unalazimisha kuweka M kwenye jina la Nyerere basi na hao pia ni walimu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ha ha ha mkuu wewe sasa ndio unalazimisha...........
Dunia nzima inajua jina la heshima la rais wa kwanza wa Tanzania ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Hao wengine hawatambuliki hivyo,so hoja yangu bado iko palepale kuwa pamoja na jina la heshima bado herufi M ipo.
Hata kwenye zile picha tutundikazo maofisini pameandikwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na hawa wengine jina linaanza kulingana na heshima ya mhusika
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nenda kasome Nomino, aina za majina, ukikuta jina la heshima lipo niwekee namba yako nikutumie 100k
 
Back
Top Bottom