Ni ndoto hata yeye anajuaUnamaanisha itabaki kuwa ni ndoto isiyotimia mkuu?
Ka(m)barageKwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
kamba na maharageKa(m)barage
KaMbarage.. Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga???Kwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
Mwalim sio jina lake!ni umaarufu wake na cheo chakeWakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]freemasons hao
Mimi huko shule sikupita! [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Umeelewa alichoongea mtoa mada lakini?KaMbarage.. Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga???
Nalijua mkuu ndio maana nikasema pasipo kujali kama ni cheo ama jina lake halisi kuna herufi MNimecheka sana, hivi wewe jamaa haulijui hata jina la baba wa taifa??
Kwenye kaMbarage huoniKwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Kwenye kaMbarage huoni
Ha ha ha mkuu wewe sasa ndio unalazimisha...........Kama ni hivyo basi
1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Mwalimu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi
3. Mwalimu, Daktari John Pombe Magufuli.
Kwavile unalazimisha kuweka M kwenye jina la Nyerere basi na hao pia ni walimu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nenda kasome Nomino, aina za majina, ukikuta jina la heshima lipo niwekee namba yako nikutumie 100kHa ha ha mkuu wewe sasa ndio unalazimisha...........
Dunia nzima inajua jina la heshima la rais wa kwanza wa Tanzania ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Hao wengine hawatambuliki hivyo,so hoja yangu bado iko palepale kuwa pamoja na jina la heshima bado herufi M ipo.
Hata kwenye zile picha tutundikazo maofisini pameandikwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na hawa wengine jina linaanza kulingana na heshima ya mhusika