Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Mbona hata herufi "I" iko kila rais aliyepita tazama
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
pia wote wana Herufi "A" tena kati kati
 
Kambarage hana M,"Mwalimu"si jina lake,nicheo tu,kwasababu alikuwa mwalimu,alifundisha Pugu secondary,
Ukichukua Hiyo M kwa Kambarage,basi na Kwa Maghufuri,chukua "D" ya title yake ya udakitari,
 
Bas kama hivo atae fatia ni Majaliwa K .....kazi kwako na wewe badirisha jina mapema ili ujiwekee mazingira mazur ya kuingia kwenye jackpot ya 2025
 
Anayefuatia hana M, DB
 
Mimi huko shule sikupita! [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Umeelewa alichoongea mtoa mada lakini?
kweli kwenye KaMbarage huoni M hapo ilhali nimeiandika kwa herufi kubwa?? Kusoma hujui, hata Picha huoni?
 

Mwalimu hapo namba 1 ni Jina au Cheo..................!!!!!
 
kweli kwenye KaMbarage huoni M hapo ilhali nimeiandika kwa herufi kubwa?? Kusoma hujui, hata Picha huoni?
Mbali na hilo mimi nilikuwa nalenga herufi za mwanzoni mkuu,japo jina ni la heshima bado herufi M iko pale.
 
Hivi vichwa ndivyo vimetoka chuo kikuu eti! Hii elimu ya Tanzania ni majanga! Nyerere jina lake ni "Mwalimu?" pumbavu kabisa hili!!
 
We nawe unaakili fupi mwalimu ni jina la Nyerere,,
 
Kwa Kambarage,tuchukue 'm' ya kwenye Kambarage lakini sio ya Kwa "mwalimu" tushakubaliana mwalimu ni wadhifa kama alivyotumia mwenyewe na sio jina..maana kuna watu wanaitwa Mwalimu,Fundi na ukienda mbali utawakuta akina "Garner"
 
Angesema wapo tripple J
JKN
JMK
JPM
Mkuu mimi nililenga kuwajumuisha wote, ndio maana nikaona herufi M haikosekani kwa wote ingawa kwa Mwalimu ni la heshima na hawa wengine ni majina yao tangu utotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…