Mmakua Mmakonde
Member
- Aug 23, 2016
- 61
- 144
Wakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
Michango mingine unasoma halafu unajiuliza mchangiaji alikumbuka nyimbo alizokuwa akiziiimba alivyokuwa mdogo ndio akaamua kuimba huku jukwaani.......?Nyuzi zingine unasoma heading halafu unajiuliza hivi baada ya hii itakayofuata itakuwaje kama si ukuti ukuti wa mnazi wa mnazi
Kwani kuna jina raisi nimelitaja hapo mkuu?Amewahi kuwa rais wa wapi mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe trend unaiona kabisa halafu unaimba "low ASA" " low ASA " wakati hakuna M pale
Nimekuelewa mkuu,lengo langu lilikuwa kukuonyesha ulipo-mark M kwenye jina la raisi wa kwanza siko. Ni sawa na kusema jina la Dr. J.P.Magufuli lina herufi D ndani yake. M niliyoitarajia kwenye hilo jina ni kutoka kwenye jina la kati la Kambarage na sio Mwalimu. Ila umeeleweka mkuu.Kweli haujataja,ila mada inasemaje mkuu?
Nimekuuliza kutokana na mada inavyozungumzia kiongozi........
Akili yako ni kubwa kama propesa lipumbaaWakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?