Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Wakuu habari zenu,

Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?

Kwa hiyo Prof Lipumba jina lake lina herufi F ndani yake🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Nyuzi zingine unasoma heading halafu unajiuliza hivi baada ya hii itakayofuata itakuwaje kama si ukuti ukuti wa mnazi wa mnazi
Michango mingine unasoma halafu unajiuliza mchangiaji alikumbuka nyimbo alizokuwa akiziiimba alivyokuwa mdogo ndio akaamua kuimba huku jukwaani.......?
 
Unajua huwa nataman kujua elim ya mtu wa aina ya hao viumbe mkuu
Yawezekana ana elimu kubwa tu,elimu ambayo kwa bahati mbaya imebaki kwenye madaftari na sio kichwani.
 
Kweli haujataja,ila mada inasemaje mkuu?
Nimekuuliza kutokana na mada inavyozungumzia kiongozi........
Nimekuelewa mkuu,lengo langu lilikuwa kukuonyesha ulipo-mark M kwenye jina la raisi wa kwanza siko. Ni sawa na kusema jina la Dr. J.P.Magufuli lina herufi D ndani yake. M niliyoitarajia kwenye hilo jina ni kutoka kwenye jina la kati la Kambarage na sio Mwalimu. Ila umeeleweka mkuu.
 
Nyerere umemsingizia hana jina linaloanzia na M kinachonitatiza mm ni ile hali ya kupokezana kidini yani awamu mkristo awamu muislam..
 
Nyerere umemsingizia hana jina linaloanzia na M kinachonitatiza mm ni ile hali ya kupokezana kidini yani awamu mkristo awamu muislam..
Kweli mkuu hilo la dini lipo,na pia rais akitokea bara makamu anakuwa wa visiwani.
 
Wakuu habari zenu,

Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
Akili yako ni kubwa kama propesa lipumbaa
 
Back
Top Bottom