kwa mwenye ufahamu, kuna vijana wamepewa barua zao za kujiunga chuo jana na usajili unaanza tar 29 na wanasema ili usajiliwe unatakiwa uwe umelipia bank 60% huku bodi hawajatoa.
kwa wakongwe kama mpo tunaomba ujanja nini cha kufanya ili tusichelewe registration