Majina ya Mods wa JF

Majina ya Mods wa JF

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja wao? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi!
Boqin
Wand
Active
Diversity
Panel
Moderator
etc etc
 
Yule shabiki wa chadema alienipiga mimi ban sababu nimewaita chadema genge la wahuni, na wakati huo huo mashabiki wa chadema wa humu wanatukana ccm wanaachwa ni mod yupi kati ya hao?
 
Yule shabiki wa chadema alienipiga mimi ban sababu nimewaita chadema genge la wahuni, na wakati huo huo mashabiki wa chadema wa humu wanatukana ccm wanaachwa ni mod yupi kati ya hao?
Soon uzi unafutwa...

Ni utabiri tu Kama Kuna mawingu na kuanua nguo [emoji41][emoji41]
 
Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi!
Boqin
Wand
Active
Diversity
Panel
Moderator
etc etc
Hawa wote wafungwe mawe shingoni kisha ...... baharini
 
Yule shabiki wa chadema alienipiga mimi ban sababu nimewaita chadema genge la wahuni, na wakati huo huo mashabiki wa chadema wa humu wanatukana ccm wanaachwa ni mod yupi kati ya hao?
🤣🤣🤣🤣natamani kumjua aliyekua hodari mno kufuta thread zangu wakati wa kampeni..... thread ilikua haimalizi dakika5😂😂
Ubarikiwe sana mod
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natamani kumjua aliyekua hodari mno kufuta thread zangu wakati wa kampeni..... thread ilikua haimalizi dakika5[emoji23][emoji23]
Ubarikiwe sana mod
Mods wa jf ni wanajikutaga na wao wana mihemko ya kisiasa
 
Back
Top Bottom