Majina ya Mods wa JF

Majina ya Mods wa JF

Mods wa jf ni wanajikutaga na wao wana mihemko ya kisiasa
Hahaha maneno yangekua yanatoboa hawa mamudi wangeshakua tenga zamaniii maana kila mtu analake jambo kuhusu wao dah.
 
Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi!
Boqin
Wand
Active
Diversity
Panel
Moderator
etc etc
Kuna Mod hapo sijui nina bifu nae anafuta Sana Nyuzi zangu.
Aombe tusikutane kitaa
 
Mkuu mbona wewe hutumii jina lako halisi?

Mambo mengine yanahitaji anonymity.
Wanapokuwa kazini majina yao halisi ni muhimu. Wakigeuka kuwa wachangiaji, basi wanakuwa na majina kama Retired, Teenager and the like
 
Back
Top Bottom