Hayapokelewi alafu wwnatufanyia kama vile wanaendesha familia zaoMalamiko hayapokelewi kwani?
So solution unaona waweke majina halisi labda?Hayapokelewi alafu wwnatufanyia kama vile wanaendesha familia zao
Sina tatizo na majina yao... Shida yangu wabadili tabia zao tuSo solution unaona waweke majina halisi labda?
Ndivyo akili yako invyokutuma si ndio.
Ok.Sina tatizo na majina yao... Shida yangu wabadili tabia zao tu
Nje ya hapo wanatafuta laana ya wanajf
Soon uzi unafutwa...Yule shabiki wa chadema alienipiga mimi ban sababu nimewaita chadema genge la wahuni, na wakati huo huo mashabiki wa chadema wa humu wanatukana ccm wanaachwa ni mod yupi kati ya hao?
Sawa bhana niseme nini tena?MI Nampenda wand japo simjui
Hawa wote wafungwe mawe shingoni kisha ...... bahariniMbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi!
Boqin
Wand
Active
Diversity
Panel
Moderator
etc etc
🤣🤣🤣🤣natamani kumjua aliyekua hodari mno kufuta thread zangu wakati wa kampeni..... thread ilikua haimalizi dakika5😂😂Yule shabiki wa chadema alienipiga mimi ban sababu nimewaita chadema genge la wahuni, na wakati huo huo mashabiki wa chadema wa humu wanatukana ccm wanaachwa ni mod yupi kati ya hao?
Mods wa jf ni wanajikutaga na wao wana mihemko ya kisiasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natamani kumjua aliyekua hodari mno kufuta thread zangu wakati wa kampeni..... thread ilikua haimalizi dakika5[emoji23][emoji23]
Ubarikiwe sana mod
Mods wa jf ni wanajikutaga na wao wana mihemko ya kisiasa
Asiombe nikamjuaYule mdada kibonge ndo yupi apo?