Majina ya Mods wa JF

Mods wa jf ni wanajikutaga na wao wana mihemko ya kisiasa
Hahaha maneno yangekua yanatoboa hawa mamudi wangeshakua tenga zamaniii maana kila mtu analake jambo kuhusu wao dah.
 
Eeh..Kuna anaefutaga pia Post zangu, Mungu anamzoom
 
Kuna Mod hapo sijui nina bifu nae anafuta Sana Nyuzi zangu.
Aombe tusikutane kitaa
 
Mkuu mbona wewe hutumii jina lako halisi?

Mambo mengine yanahitaji anonymity.
Wanapokuwa kazini majina yao halisi ni muhimu. Wakigeuka kuwa wachangiaji, basi wanakuwa na majina kama Retired, Teenager and the like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…