Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!!

Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo;

1. Nauli.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri.

2. Zaka na Sadaka.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za kiroho.

3. Mahari
Pesa Kwa ajili ya kupata Mke au kununua Mwanamke ili awe Mke wako.

4. Ada.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma ya elimu au ujuzi, kununua elimu au Ujuzi.

5. Kodi na Ushuru.
Pesa Kwa ajili ya kupata au kuwapa watawala, ili wakuongoze au wakutawale vizuri.

6. Vocha
Pesa Kwa ajili ya kupata au kununua Huduma za mawasiliano Kama iwe ya kupiga simu, kutuma SMS au kupata kifurushi cha intaneti.

Ongeza majina mengi ya pesa kulingana na matumizi na Huduma.
 
Yaani umetaja zote kubwa kubwa umesahau Mshahara

-Pesa wanayolipwa wafanyakazi
 
-kitu kidogo-

No free lunch my friend, toa hela uhudumiwe
 
Posho!
Unaambiwa hii ni fedha unayopewa Ili kutimiza majukumu Yako kikazi,
Hii sio rushwa, niposho za vikao mzee
 
Back
Top Bottom