Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

Nashangaa mpaka sasa hivi hakuna aliye taja " Hongo"
 
Kwema Wakuu!!

Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo;

1. Nauli.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri.

2. Zaka na Sadaka.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za kiroho.

3. Mahari
Pesa Kwa ajili ya kupata Mke au kununua Mwanamke ili awe Mke wako.

4. Ada.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma ya elimu au ujuzi, kununua elimu au Ujuzi.

5. Kodi na Ushuru.
Pesa Kwa ajili ya kupata au kuwapa watawala, ili wakuongoze au wakutawale vizuri.

6. Vocha
Pesa Kwa ajili ya kupata au kununua Huduma za mawasiliano Kama iwe ya kupiga simu, kutuma SMS au kupata kifurushi cha intaneti.

Ongeza majina mengi ya pesa kulingana na matumizi na Huduma.
Sabuni baada ya kupewa mbunye
 
Rushwa (ya fedha)...pesa inayolipwa ili mfaidika mambo yake yaende, yawe halali au haramu.

Hii inaenda pande zote, kwa anayetoa na anayepokea.
 
Kwema Wakuu!!

Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo;

1. Nauli.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri.

2. Zaka na Sadaka.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za kiroho.

3. Mahari
Pesa Kwa ajili ya kupata Mke au kununua Mwanamke ili awe Mke wako.

4. Ada.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma ya elimu au ujuzi, kununua elimu au Ujuzi.

5. Kodi na Ushuru.
Pesa Kwa ajili ya kupata au kuwapa watawala, ili wakuongoze au wakutawale vizuri.

6. Vocha
Pesa Kwa ajili ya kupata au kununua Huduma za mawasiliano Kama iwe ya kupiga simu, kutuma SMS au kupata kifurushi cha intaneti.

Ongeza majina mengi ya pesa kulingana na matumizi na Huduma.
mshahara
 
1 Timotheo 6 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁶ Walakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa.
⁷ Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu;
⁸ ila tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo.
⁹ Lakini hao watakao kuwa na mali huanguka katika majaribu na tanzi, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, ziwatosazo wanadamu katika upotevu na uharibifu.
¹⁰ Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
"changu"

eg: nimempa papa usiku kucha, asubuhi kanipa "changu" nikasepa
 
MUAMALA- HUDUMA YA KIFEDHA KIMTANDAO

MAFAO/KIINUA MGONGO - HELA BAADA KUSTAAFU KAZINI....
 
Back
Top Bottom